Mameya Dar wamtembelea kamanda Lowassa

Zungusha mikono hewani.......luwasaaaaaaaa
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kulitaja hilo jina na kulirudia rudia tena na tena? Wataalamu bila shaka watagundua kuwa una gonjwa kubwa linakusumbua linaitwa Lowassaphobia!! Watu waoga hupiga kelele au kuongea wenyewe kama njia ya kujitoa hofu wanapokuwa kwenye maeneo ambayo wanayaogopa au mbele ya mtu wanayemhofia.
 
Hiyo ni kweli lakini kwa vile tunajua lazima tukabiliane nalo
 
Naona umegundua ugonjwa wake
 
Ungejua Pombe mwenyewe anatembelea nyota ya Lowassa???
 
Pesaaaaaa!Binadamu Ataliwa Mpaka Kiboga
 
Hahaha daah na madiwani 10 nchi nzima afu wanasema 2020 watakua wapinzani wakuu wa CCM
Mkuu hawa jamaa wana roho ngumu kama paka na hii yoote ni kiongozi wao kuwa na tamaaa na atawaponza kama kibwetele
 
IT IS CRIMINAL TO SPOIL SOMEBODY'S NAME
Huyo kwa kuwa ni mfuasi wa kiongozi mkuu ameamua kujitoa ufahamu baada ya kuona kila wanalo fanya linakuwa ni bure,walikuwa wanajipa moyo eti kwa kuwa tumesimamisha wagombea ubunge nchi mzima kama ccm basi na wao wange kuwa na wabunge wengi kama ccm,duu unajuwa kilicho wapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…