Mameya Dar wamtembelea kamanda Lowassa

Mameya Dar wamtembelea kamanda Lowassa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,010
Reaction score
134,215
Mameya wa Ilala na Kinondoni wamemtembelea Mh.Lowassa nyumbani kwake na kupata nasaha za nguvu kutoka kwa Lowassa.

Mh.Lowassa amewaasa mameya kupiga kazi na kuionyesha Tanzania na dunia kuwa watakayoyafanya Dar ndio angeyafanya kwa Watanzania wote.

Lowassa amelaani zoezi la bomoabomoa na kusema ni kinyume na haki za binadamu.

Aidha Lowassa amesisitiza madiwani wahakikishe mapato yanakusanza kwa wingi ili kuwezesha utoaji wa huduma.

Aidha madiwani wamemshukuru Kamanda Lowassa kwa mchango wake mkubwa kwenye ushindi wao.
 
Tungo, mbwembwe, na hisia za kujifariji ni reli ndeefu itakayotumiwa kupitisha mambo hayo hadi mwishoni mwa 2019........
 
Mtaumia sana mawakala wa magamba
 
Mameya wa Ilala na Kinondoni wamemtembelea Mh.Lowassa nyumbani kwake na kupata nasaha za nguvu kutoka kwa Lowassa.

Mh.Lowassa amewaasa mameya kupiga kazi na kuionyesha Tanzania na dunia kuwa watakayoyafanya Dar ndio angeyafanya kwa Watanzania wote.

Lowassa amelaani zoezi la bomoabomoa na kusema ni kinyume na haki za binadamu.

Aidha Lowassa amesisitiza madiwani wahakikishe mapato yanakusanza kwa wingi ili kuwezesha utoaji wa huduma.

Aidha madiwani wamemshukuru Kamanda Lowassa kwa mchango wake mkubwa kwenye ushindi wao.
Nampenda sana lowassa. Ndiye aliyefanya niwapende UKAWA pia. 2020 nitakupa kura yangu tena lowassa
 
Mtaumia sana mawakala wa magamba
Nasikia astashahada za usanii zimeanza kutolewa mikocheni

Walianza wafanyabiashara....

Watafuata wale vijana wa kikenya wa tallying
 
Mtumwa wa Lowasa......haya zungusha mikono.......ushakunywa maji mtoni sasa unahorohoja
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh
Act wanawayawaya na taa ya treni
 
Nasikia astashahada za usanii zimeanza kutolewa mikocheni

Walianza wafanyabiashara....

Watafuata wale vijana wa kikenya wa tallying
Treni hiyoooooooooo hadi mwandiga
 
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh
Act wanawayawaya na taa ya treni
Nasikia unavyompenda Luwasa upo radhi kudeki mazizi yake kwa ulimi.....
 
Nasikia astashahada za usanii zimeanza kutolewa mikocheni

Walianza wafanyabiashara....

Watafuata wale vijana wa kikenya wa tallying
Mtaendelea kuteseka sana
 
Back
Top Bottom