Anatingisha meza yenye vinywaji vya gharama sana hukuView attachment 3697185
Timu imeitoa mamelod+refa+raisi wa CAF Bw. Motsepe halafu unasema mselekeko? Wewe hiyo timu haikupi mchecheto?Simba na Yanga mseleleko huu washindwe wao tu!!
OrlandoHiki ndicho kipindi cha kuibeba hii ndoo aisee
Heshima kwako mkuu, hamna anaocgeza odds hizi ni wachache sanaAnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama sana hukuView attachment 3697185
Ubingwa waja TanzaniaLigi ya mabingwa hakuna huruma na mtu.
Kama hukujipanga unapasuka mchana tu.
Simba na Yanga zikitaka Ubingwa huo ziwe serious kwenye mipango yao.
Tukiongeza umakini na kuondoa fitna baina yetu tunaweza kufanya kama hivyoUbingwa waja Tanzania
We sema umeliwa na Muhindi tu.!Africa tuna upumbavu mwingi sana
Bingwa anaanziaje playoff
Kwa kuangalia recent record hao wote uliotaja ni rika moja na akina simba na YangaTimu imeitoa mamelod+refa+raisi wa CAF Bw. Motsepe halafu unasema mselekeko? Wewe hiyo timu haikupi mchecheto?
Kuna petro na Alger, kuna Orlando (hapa unasemaje ni mseleleko?
Pyramid naona ndio mzuri zaidi ya haoOrlando
Petro
Alger hao wote unategemea nani atawakataza kufika hatua za juu?
Hakika mkuuPyramid naona ndio mzuri zaidi ya hao
Vipi unajijibu mkuuHakika mkuu
Hahaaaaaa,kuna mtu nilikua namjibu kitecno changu kakajichanganya mkuu basi tenaVipi unajijibu mkuu