Mambosasa Triangle Theorems

NASRI1

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
210
Reaction score
284
Natumai kuwa members wote humu ni wazima na kama wapo wanaoumwa then Mungu
awaponye mapema.
Lengo la kuleta huu uzi hapa ni kuhusu nilichokiona katika peruzi zangu mtandaoni nikaona ni
vyema niwashirikishe wana JF wenzangu kuhusu Mchango wa Mtanzania mwenzetu katika
ulimwengu wa namba (Mathematics),Nimejisikia faraja sana kuona kuwa kumbe na sisi
Waafrika tunaweza kufanya Mambo makubwa Duniani na si wazungu tu.Najisikia faraja sana
kuona mwenzetu akifanya mambo makubwa kama haya.
Source: Zenodo (Preprints): Existence of equations governing right triangle within the smallest acute angle of the right triangle
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…