Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

Hiki ni kiwango kipya na cha ajabu anachoonyesha Afande Mambosasa!

Kitu kimoja, ambacho nacho ni cha ajabu kidogo, ni kuwa sasa hivi matumizi ya akili na taaluma hapo nyumbani yamekuwa kama ni haramu. Je akili nayo imepigwa marufuku kutumika?
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Lazaro Mambosasa amesema walimkamata mwanafunzi Kumbusho Dawson baada ya kusambaza uzushi kwenye mtandao,

Kamanda ameelezea kama mwanafunzi huyo angekuwa na taarifa yoyote basi angeipeleka kwa mkandarsi wa majengo au mmiliki wa majengo hayo

Mtu aliyekuwa alalamike ni mmiliki wa majengo hayo na sio yeye

Pia amesema ameshangaa watu kulalamika na kupokea usumbufu mkubwa kwa jambo hilo wakati kuna maghorofa makubwa hapa Dar yalishaanguka na kuumiza watu lakini hakuna watu hawakuonyesha kuvutika kama ilivyokuwa kwa jambo hili


hostel-jpg.643165
 
I agree, it is very foolish..
Its a faulty building..it needed to be reportes before people got hurt or killed.
The person who reported the menancing cracks and potential hazard is a resident and user of the buildings.
Moreover he reported the truth..
This police chief needs to reaccess his marbles.
The reasons for this arrest do not make sense...and defending the arrest is absurd.
Just imagine, God forbid, if the building had come tumbling down and people killed...wouldnt everyone be blamimg this very same guy for not reporting it?
Would he not be charged with manslaughter?
Absolutely
 
Asilimia kubwa ya kuanguka kwa popularity ya Magufuli imechangiwa na hawa watu, Binafsi naamini hm.

Ndugu, mimi nasemaga wanaotuangusha ni wanasheria. Sheria zipo zinazotulinda ila wa kuzisimamia ndiyo hakuna. Hata zinapopindishwa, wanasheria ndiyo huwa wa kwanza kujua ila huwasikii wakitamka kitu.

Mtu utakwendaje kusoma sheria halafu usiwe unapenda malumbano na ubishi? Siwaelewi hawa watu.
 
Huyu kamanda naye ni wale wale tu, uzushi gani wakati ni kweli majengo yana nyufa?
Eti mwenye majengo ndo alipaswa kulalamika na si huyo mwanafunzi anayeishi humo...!
Hiko ni kichekesho cha mwezi kama si cha mwaka! Yani mtu anayeishi kwenye nyumba yenye nyufa bila kutoa taarifa mwenye nyumba atajuaje na yeye haishi hapo?
Wonders shall never end in this country.
 
Mambosasa anatia aibu na kujitoa ufahamu, anyway analinda kitumbua chake kwa taarifa ya kijinga. Hayo ndio matunda ya nchi ya hofu na kiza kinene.
 
mtaishia kupiga kelele mitandaoni bila kuchukua action. endeleeni kuwa vilaza tu wasukuma wawatawale wafu vizur. siku mkifufuka mtajikuta ni zaid ya zimbabwe.
 
"Mtu aliyekuwa alalamike ni mmiliki wa majengo hayo na sio yeye"
Kwa kauli hii ya mambosasa anamaanisha iwapo utawaona majambazi yanapanga uhalifu wa kuvamia kituo cha mafuta kwa kuwa wewe si mmiliki wa kituo hicho basi hilo halikuhusu na ukitoa taarifa ni kosa la jinai
 
Wenzetu Hali yoyote hatarishi ni vyema umma wote kufahamishwa kwa njia zote za media za habari ili kuepusha maafa au hata wasiwasi kwa wananchi.

Kwetu sisi ni kinyume hatutaki wananchi wafahamu kuwa kuna jambo linatia wasiwasi ili wataalamu wajitokeze kutoa na kufanya uhakiki kama kuna uwezekano
wa maafa kutokea au la.
 
huyu nae ni kichwa maji tu kama policcm wengine.. Aweke hakiba ya maneno siku jengo likiporomoka na kuua hata kama amestaafu tutainanga familia yake
 
Sura yake inasema yote yeye ni mtu wa aina gani, hakuna haja kumsikiliza. Ati kusambaza uzushi, hahaha hilo nalo kosa? Anajua vizuri waliosema akamatwe wamelewa anajaribu kujifanya mjinga kuwatetea
 
Back
Top Bottom