Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Lazaro Mambosasa amesema walimkamata mwanafunzi Kumbusho Dawson baada ya kusambaza uzushi kwenye mtandao,

Kamanda ameelezea kama mwanafunzi huyo angekuwa na taarifa yoyote basi angeipeleka kwa mkandarsi wa majengo au mmiliki wa majengo hayo

Mtu aliyekuwa alalamike ni mmiliki wa majengo hayo na sio yeye

Pia amesema ameshangaa watu kulalamika na kupokea usumbufu mkubwa kwa jambo hilo wakati kuna maghorofa makubwa hapa Dar yalishaanguka na kuumiza watu lakini hakuna watu hawakuonyesha kuvutika kama ilivyokuwa kwa jambo hili

 
... ameshangaa watu kulalamika na kupokea usumbufu mkubwa kwa jambo hilo wakati kuna maghorofa makubwa hapa Dar yalishaanguka na kuumiza watu lakini hakuna watu hawakuonyesha kuvutika kama ilivyokuwa kwa jambo hili
Kwa hiyo kwa kuwa majengo mengine yaliyoleta maafa watu hawakuvutika, basi na hili nalo wasivutike? Daah, ngoja nicheze Tatu Mzuka nipate walau ya bando
 
Back
Top Bottom