Mambo?

Mambo?

Mambo zenu? Mm ni mpya katika mtandao huu jaman so naomben kampani yenu

Kriibu Dogo, mbona unataka kuvua viatu ? Ingia na viatu vyako.
Veranda ndiyo hapo ulipo, mie huku nakochatia chumbani, msalani geuka kushoto kwako,
mwisho ukajitambulishe kwa mjumbe wa mtaa anaitwa Shongoko !
 
Mwambie aje kateremsha kaptura kabisa
Leo wagonjwa wengi
Kristapen nawachoma wakiwa wamesimama

Kriibu Dogo, mbona unataka kuvua viatu ? Ingia na viatu vyako.
Veranda ndiyo hapo ulipo, mie huku nakochatia chumbani, msalani geuka kushoto kwako,
mwisho ukajitambulishe kwa mjumbe wa mtaa anaitwa Shongoko !
 
Mmemkaribisha kwa biti mpaka kakimbia masikini Musa wa watu lol...
 
Musa karibu dogo........hapa tuko babu zako, baba zako, kaka zako na dada zako na mama zako na wenzako pia!
 
Mmemkaribisha kwa biti mpaka kakimbia masikini Musa wa watu lol...

Ndo manaake Jf uje mkakamavu, uso wa Mbuzi n.k sasa hapa Dogo anapigwa matizi - Jaramba !
Tunamdash mikikimikiki anaimudu ? Jf hamna taarabu , taarabu iko Fcbk ! Hence, lets us tumfunde !
 
Musa karibu dogo........hapa tuko babu zako, baba zako, kaka zako na dada zako na mama zako na wenzako pia!

Na mabeki3 pia wapo ! Kwenye makaka, madada n.k pakose beki 3?
Sema tu ni marufffukkk, mazoea na mabeki three !
 
Kabla hujakaribia njoo uchezee hichi kilichoning'inia kwnye avatar yangu mpaka kitoe machozi.
MAPROSOO.
 
Mbona umepitia dirishani. Karibu sana.
 
Karibu sana mkuu Musa Salum, tunakutakia maisha mazuri na yenye uvumilivu pia. Uwe na moyo wa jiwe ili uweze kuendana na kaulimbiu ya hayati Charles Darwin isemayo "survival of the fittest". Uwe fiti kweli kweli, kwa mara nyingine nasema karibu sana na jisikie uko Home of Great Thinkers.
 
Back
Top Bottom