Mambo yote unayohitaji kujua kuhusu windows 10

Mambo yote unayohitaji kujua kuhusu windows 10

Windows is beyond the definition of an OS, kama watarelease iso za Windows mtupie hapa hapa direct links
 
nakuelewa brother. hawajaongelea ni device gani esp simu zinaweza upgrade? najua m/soft wataruhusu hii kitu i.seed ata kwenye low range smartphones. lumia 520 525 625 630 zisikose hii upgrade
 
Kaka chief mi nnampango wa kununua windowphone esp. lumia je ninunue lumia ipi ambayo ntaweza kuiupdate kwa window 10

hapa subira inahitajika, jana walizindua windows 10 kwa enterprise then watakuja kuzindua kwa consumer hapo ndio tutajua simu gani zitapata hii os
 
nakuelewa brother. hawajaongelea ni device gani esp simu zinaweza upgrade? najua m/soft wataruhusu hii kitu i.seed ata kwenye low range smartphones. lumia 520 525 625 630 zisikose hii upgrade

nna was was na simu za 512mb kama zitapata hii update hasa ukiangalia nyengine zitakuwa na miaka 3 hii os ikitoka
 
nna was was na simu za 512mb kama zitapata hii update hasa ukiangalia nyengine zitakuwa na miaka 3 hii os ikitoka

ninavyojua windows os (na ios) haziitaji ram kubwa ili ku run smooth sio kama android os. sasa kama ndio hivyo hizi low end nazo zingepata hii update.

hafu lumia 520-the best selling smartphone-isipopata updates itawaacha mamilion kwenye simanzi.
 
kwa expense ya multitasking ambayo sio true multitasking. user wa kawaida unakuta app ipo open chini kwa chini yeye hajui hivyo ukimpa true multitasking wataanza kulalamika simu ipo slow.

na 520 ishapata updates kibao kama 4 hivi na bado kuna updates kama 2 hv kabla ya kufikia windows 10
 
sio official feature ila zipo app hizo japo implementation yake ni mbovu.

samsung wao wanayo multiwindows inakuja na simu kama una kifaa cha samsung unaweza kuieka on. sema sio app zote zinasuport hadi uroot ndio utaweza zifanya zote zikubali sababu google yupo against na hii idea.

ila kwa android nyengine pia unaweza sema ndio ina involve steps nyingi za kufanya na pia bado haijakuwa polished
650x300xandroid-split-screen-multi-window-multitasking.png.pagespeed.ic.YIjjkOiU9D.webp

unaweza kwenda hapa ukasoma zaidi
How to Get Multi-Window Multitasking on Any Android Phone or Tablet

natumia galaxy tab 2, nnaiwekaje on hii multiwindow?
 
Back
Top Bottom