Mambo yote unayohitaji kujua kuhusu windows 10

Mambo yote unayohitaji kujua kuhusu windows 10

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
mambo haya tayari yameshakuwa confirmed

1.store ya kudownload apps itakuwa moja bila kujali unatumia simu au tablet au desktop
screen_shot_2014-09-30_at_1.55.19_pm.jpg

2.developer atacode application moja tu lakini itafanya kazi kwenye vifaa vyote hapo juu

3.kutakuwa na feature inaitwa snap assist ambapo utaweza kufungua app mbili kwa mpigo na kuzifanya zionekane kwenye kioo chako kwa pamoja.
screen_shot_2014-09-30_at_1.37.37_pm.jpg

hii itakuwa nzuri kwa simu na tablet mfano upo jf na whatsapp kwa pamoja vyote vikionekana kwenye kioo

4.technical preview tutaweza kuidownload kesho 64bit itakuwa 4gb na 32bit itakuwa 3gb hivyo andaa internet. ila hii ni preview tu kama una pc isio na kazi ueke ili utest ila kama pc yako ina kazi nakushauri usieke maana kutakuwa na bugs za kutosha

5.kwa watu wa kawaida mwaka 2015 katikati ndio wataipata windows 9

6.user interface itakuwa inabadilika kutokana na kifaa unachotumia. mfano kama una kifaa cha touch basi ui ya touch itakaa. ukichomeka mouse na button itachange itakuwa kama desktop

7.video ya kwanza inayoelezea win 10
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=84NI5fjTfpQ
mengine yataendelea muda si mrefu

Microsoft has just announced the next version of Windows. They're not calling it Windows One, or Windows 9, instead Redmond has decided to call it Windows 10.

Microsoft isn't live streaming the event, but invitees are live tweeting the announcement. Microsoft's Terry Myserson is quoted as saying the new Windows has been built from the ground up for a mobile first, cloud first world.

The new platform will come with one store for developers to reach consumers across phone, tablet and PC.

Microsoft announces Windows 10, the next version of Windows | Windows Phone Central
 
mambo haya tayari yameshakuwa confirmed

1.store ya kudownload apps itakuwa moja bila kujali unatumia simu au tablet au desktop
screen_shot_2014-09-30_at_1.55.19_pm.jpg

2.developer atacode application moja tu lakini itafanya kazi kwenye vifaa vyote hapo juu

3.kutakuwa na feature inaitwa snap assist ambapo utaweza kufungua app mbili kwa mpigo na kuzifanya zionekane kwenye kioo chako kwa pamoja.
screen_shot_2014-09-30_at_1.37.37_pm.jpg

hii itakuwa nzuri kwa simu na tablet mfano upo jf na whatsapp kwa pamoja vyote vikionekana kwenye kioo

4.technical preview tutaweza kuidownload kesho 64bit itakuwa 4gb na 32bit itakuwa 3gb hivyo andaa internet. ila hii ni preview tu kama una pc isio na kazi ueke ili utest ila kama pc yako ina kazi nakushauri usieke maana kutakuwa na bugs za kutosha

5.kwa watu wa kawaida mwaka 2015 katikati ndio wataipata windows 9

6.user interface itakuwa inabadilika kutokana na kifaa unachotumia. mfano kama una kifaa cha touch basi ui ya touch itakaa. ukichomeka mouse na button itachange itakuwa kama desktop

7.video ya kwanza inayoelezea win 10
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=84NI5fjTfpQ
mengine yataendelea muda si mrefu
 
chief-mkwawa nimemiss uzinduzi nilikuwa nimelala. kwanini windows 10 kisha 9?
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa nimemiss uzinduzi nilikuwa nimelala. kwanini windows 10 kisha 9?

sijui wenyewe halafu wametubania live stream wamewapa info madeveloper wachache ila kesho kitu kitakuwa hewani tutajua huko huko
 
Last edited by a moderator:
Sinunui smarthphone nyngne mpaka sony au nokia watoe device za window 10
 
chief-mkwawa nimesoma sehemu wanasema windows 9 itakuwa free update kwa watumiaji wa windows 8, so windows 10 itatoka baada ya windows 9
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa nimesoma sehemu wanasema windows 9 itakuwa free update kwa watumiaji wa windows 8, so windows 10 itatoka baada ya windows 9

kipindi hio habar inaandikwa ilikua hawajatangaza jina, ndo wameamua iwe win 10 sio 9 tena
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hiyo win 9 ambayo mmesema ni upgrade ya win8 haitokua na Bugs?
maana mm pc yangu imekuja na win 8 hope itakua available asap kwenye store hii upgrade ili niishughulikie faster
 
Kwa hiyo hiyo win 9 ambayo mmesema ni upgrade ya win8 haitokua na Bugs?
maana mm pc yangu imekuja na win 8 hope itakua available asap kwenye store hii upgrade ili niishughulikie faster

haiji mapema itakuja mwanzoni mwakani. na hii ten nimesoma itaanza kuwafikia watumiaji wa kawaida in mid 2015
 
kaka chief-mkwawa

3.kutakuwa na feature inaitwa snap assist ambapo utaweza kufungua app mbili kwa mpigo na kuzifanya zionekane kwenye kioo chako kwa pamoja

hii kwenye pc si kama kufungua vitu viwili au zaidi mf browser na movie hafu ukaweka size ndogo mf 30% zoom? kwenye tabs zenye android ics pale kushoto ukiclick zinapanda all recently opened apps? sioni jipya.

naomba nielekeze zaidi hapa
 
1.tuanze na desktop
-itachukua muda gani kuresize windows 2 mpaka zifit 50% kwa 50%? na ukitaka kuchange app ghafla unaanza upya. kwa njia hii kama upo fasta ni sekunde tu umeshaseti hivyo ni nzuri kwenye productivity.

2.tuje tablet, simu na desktop
-ukumbuke hii windows 10 ni ya vifaa vyote vya microsoft, je device hizi zisizo na windows je? zitaweza kusnap app mbili fresh tu.

3.tuje ics
hio ulioisema wewe ni menu ya multitasking tu huwezi vifanya kwa mpigo inabidi ufanye kimoja then uminimize ufanye chengine
276409-ics-multitasking.jpg

sasa hii unafanya mambo mawili at the same time chukulia mfano situation hii. upo zako youtube unacheki video then mamaako/mchumba anataka muchat whatsapp lakini yupo slow kuchat kila baada ya dakika 2 ndio anatuma text moja, so kwa android au simu ya kawaida itabidi kila saa unaminimize unaingia youtube then unaminimize unarudi whatsap, itatake time na pia ni usumbufu.
lakini kwa njia hii unazisnap tu 2 kwa wakati mmoja unafanya vyote kwa mpigo,
side.png

though ipo realistic sana kwa simu kubwa kama lumia 1320 na 1520
 
Last edited by a moderator:
chief kwa tunaotumia tabs za android kuna app yeyote ambayonnaweza kuinstallikaniwezesha kufungua app mbili kwa wakati mmoja?

sio official feature ila zipo app hizo japo implementation yake ni mbovu.

samsung wao wanayo multiwindows inakuja na simu kama una kifaa cha samsung unaweza kuieka on. sema sio app zote zinasuport hadi uroot ndio utaweza zifanya zote zikubali sababu google yupo against na hii idea.

ila kwa android nyengine pia unaweza sema ndio ina involve steps nyingi za kufanya na pia bado haijakuwa polished
650x300xandroid-split-screen-multi-window-multitasking.png.pagespeed.ic.YIjjkOiU9D.webp

unaweza kwenda hapa ukasoma zaidi
How to Get Multi-Window Multitasking on Any Android Phone or Tablet
 
Back
Top Bottom