Mambo yote haya kayataka mo!

Mambo yote haya kayataka mo!

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,520
Reaction score
8,270
Wakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo kipiga kwenye uwanja wa mkapa, sio timu za afrika tu zimeonja joto ya jiwe kwa mkapa, pia timu za ulaya kama sevilla walitota pale lupaso hivyo ni haki ya mautopolo yote kushangilia na kufurahia fainali ya mkondo wa pili kupelekwa zenji maana yanaelewa mnyama akicheza lupaso nini kitatokeo‘ mooo nakulaumu sana.
 
1747431203743.jpg
 
Sawa!!! Ila game ni kwa Mkapa
 
Kabla sija comment naomba matokeo ya 5imba na Sevilla
 
Ujinga huu unapatikana ccm na simba pekee😂😂
 
Wakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo kipiga kwenye uwanja wa mkapa, sio timu za afrika tu zimeonja joto ya jiwe kwa mkapa, pia timu za ulaya kama sevilla walitota pale lupaso hivyo ni haki ya mautopolo yote kushangilia na kufurahia fainali ya mkondo wa pili kupelekwa zenji maana yanaelewa mnyama akicheza lupaso nini kitatokeo‘ mooo nakulaumu sana.
simba inaogopeka?
 
Back
Top Bottom