Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,520
- 8,270
- Thread starter
- #21
Pamoja na zile za okwi, mafisango, kaseja na mumba sunzuZile 5 mlizozipata kutoka kwa Yanga unazisahau?
Pamoja na zile za okwi, mafisango, kaseja na mumba sunzuZile 5 mlizozipata kutoka kwa Yanga unazisahau?
Siyo kweli, ndiyo mkacheze Zanzibar sasa.Kwa Mkapa hatoki mgeni. Ataliwa TU na Simba
Kinachokwogopesha game kupigwa mkapa ni nini? Mpaka jicho limekukwiva inakuhusu mechi hii uto? Ngojea nusu yako na jktSiyo kweli, ndiyo mkacheze Zanzibar sasa.
Na nyie mnachoogopa kucheza Zanzibar nini Makolo?Kinachokwogopesha game kupigwa mkapa ni nini? Mpaka jicho limekukwiva inakuhusu mechi hii uto? Ngojea nusu yako na jkt