Mmh noumaa Kwl hata xx wabongo ni good scientist
Acha ufala,andika vizuri.xx ndo niniMmh noumaa Kwl hata xx wabongo ni good scientist
Kitu kinapikwa maabara
Vizuri sana na hongera.Simple distillation- chemistry ya form one enzi zangu 1971
Vizuri sana na hongera.
Kumbe umekula chumvi! Ubarikiwe sana mkuu.
Heshima yako
Hapo hakuna mdudu wa ebola wala kipindukapinduka. Ni clear na clean. Hapo ni ubunifu mtupu hakuna virus kuingia angalia ilivyozibwa. We acha tuuu