Mambo yenyewe ndo haya!

Au jua la utosi bado linamsumbua labda.
Unajua kwenye nyuzi kama hizi kuna watu huwakosi kabisaaaa. Yani ni kuwahi no tu basi.
Kumbe Hahahaha sema kuna Uzi wake ameanzisha nao sio mchezo.
 
Kinachoumiza kuhusu hii picha utakuta mumewe au boyfriend alizungushwa mwezi mzima kuyashika tu hayo mapaja

huku kijana wa saloon anayachezea wee na kulipwa hela ....kirahisi tu

Kwa hali hii kwa mtu anayejua click point ya mtu wake iko maeneo hayo akipitishiwa mkono...... Daaah hasira.
Labda niendelee kutokujua.
 
Mbunge ebu jitahidi uingie bungeni mpiganie Sheria zibadilishwe
lazima,sina shida na anacho kifanya huyo kaka,na sikereki na anacho fanyiwa huyo dada,ila kusambaza hizo picha mtandaoni sio poa kabisa,bora libaki sirini,kuliko hadharani kama hivi
 
Dah! wife kaaga atapitia saloon… mtakutana super market baada ya masaa2
 
Dah! wife kaaga atapitia saloon… mtakutana super market baada ya masaa2
Wenzio tunachunga ng'ombe
Ww unachunga mke....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
lazima,sina shida na anacho kifanya huyo kaka,na sikereki na anacho fanyiwa huyo dada,ila kusambaza hizo picha mtandaoni sio poa kabisa,bora libaki sirini,kuliko hadharani kama hivi
sasa wadau tungejuaje kinachofanyika nyuma ya pazia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…