Mambo yenyewe ndo haya!

Mambo yenyewe ndo haya!

Ko utakuta pale jamaa jogoo halijapanda masikin Mungu awasaidiae waafrica wenzetu
 
Hulka ulizonazo wewe sio sawa na alizo nazo mwanamke wangu ,misingi uliyojengewa wewe sio sawa na misingi aliyojengewa mwanamke wangu ,kwa hiyo usitake kulazimisha mitazamo yako ndivyo inavyofanya kazi na kwa wengine ,

Ni kweli sijawasoma wanawake vizuri na wala hilo halijawahi kuwa ndio priority yangu ,

Watu wa aina yangu ? Una maanisha nini ??

Next time nikitaka kuandika biography yangu nitakutafuta maana inaelekea unanijua kuliko navyojijua
Thubutu labda huyo mwanamke wako wa peponi, jipe moyo ushinde, na ungekuwa una mwanamke bora kiasi hicho ungeshkuru sana, Sema umepata mwanamke mlokole hana makuu ya kwenda saloon kusuka wala kutia rangi ya kucha, au umeoa kutoka kijijini hanaga mambo hayo kucha anakata kwa kiwembe, mara ya mwisho kunyoa nyusi siku ya harusi, kusukwa anasukwa na mdada wa kazi au kwajirani kwa mama naniihiii, HAPO NTAKUBALIANA NA WEWE. Lakin kama ni hawa wanawake wa yes babe!! ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ANASUGULIWA MPAKA MAPAJA HAKUNA MISINGI WALA MIFEREJI. na samahani pia isije ikawa mkeo ana umri wa miaka 60 nikadhani nabishana na kijana, utaniwia radhi pia kwa hilo.
 
Mmeo kama unae hapa kalamba dume au kaokota garasa ,kuna shida gani kama ni wa kijijini ? Anasuka twende kilioni anatumia wembe ndio ila heshima debe ,hongera wewe wa mjini ambaye hata zivu mnatumia laser hair removal wakati raha ya zivu latakiwa liachwe limanue huku limechongwa kwa ustadi kama watoto wa Kijapan ,carolite na nywele zenu zilizo tolewa kwenye mikia ya Farasi mnazovaa ,samahani pia usikute nabishana na mtoto wa kimboka
 
😛😛🙁😉
 
Wanaume wa mkoani mnakuja dar kufanya hiyo kazi halafu mnadanganya wenzenu huko mikoani
akishakuja kufanya kazi Dar sio wa mkoani tena huyo keshageuka kuwa wa Dar
wa mkoani anakuja dar kufanya mishe zake kisha anasepa
 
Ndo mnajitetea hivyo kumbe baki huko huko mikoani
 
Back
Top Bottom