muyabin mgAZA
Member
- Jul 23, 2013
- 60
- 4
Namshukuru mungu mm pia nmekuaselected ila tu nawait hyo confmtin
Hapo ndo usha chaguliwa ondoa wasi wasi we shangilia tu
Namshukuru mungu mm pia nmekuaselected ila tu nawait hyo confmtin
na mimi nina case hii hii wanadai nina supp. nimeingia leo dar usiku for this issue. hawa watu wanaweza kukosesha chuo na mipango yako ikaharibika. laiti ningejua mapema kabla hawaja select watu ningewahi kuja. now profile yangu vyuo vi 4 capacity 0 kimoja capacity 37 walio apply as first choice hadi sasa ni watu 37 afu mi nilikiweka second choice. yani nshachanganyikiwa nimechoka yani alhamis napaona mbali kama kesho sijaenda kulinda na mlinzi wa getini kwao sijui
Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
Please visit this link then open your account (register) read the instruction below then you will get payment end of the each month
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wazinguaji unaweza kushare weee ikifika wakati wa survey wanakwbia hii huduma haipo ktk nchi yakoOya umethibitisha kama hiyo issue ni kwl
? Mi hawa nawaona waongo tu mkuu