Mambo yashaanza kunoga NACTE!

Mambo yashaanza kunoga NACTE!

Mimi Nili update Jana Leo asubuhi nikaikuta hiyo NA nika log out baada ya dakika kama 10 nika log in tena sikuikuta tens NA nikaikuta kama mwanzo updates/ remove qualification hawa watu wananinyima raha hata mood ya kufanya shughuli zangu ina kata kabisa
Duh vuta subira ucheki kesho maana sometime mtandao wao wa cas unasumbua kinoma
 
naombeni msaada mie nimespend the whole day kuupdate profile yangu ili hiyo NA itokee lakini hakuna chochote kilichotokea nisaidien nifanye nini
 
Nakushauri usipoteze muda chukua transcript yako wafuate kwenye ofisi zao waeleze wape na transcript my friend alikua na tatizo kama lako alivoenda ofisini kwao wakamwambia ana sup ya semester ya nne akawapa transcript wakamrekebishia
 
na mimi nina case hii hii wanadai nina supp. nimeingia leo dar usiku for this issue. hawa watu wanaweza kukosesha chuo na mipango yako ikaharibika. laiti ningejua mapema kabla hawaja select watu ningewahi kuja. now profile yangu vyuo vi 4 capacity 0 kimoja capacity 37 walio apply as first choice hadi sasa ni watu 37 afu mi nilikiweka second choice. yani nshachanganyikiwa nimechoka yani alhamis napaona mbali kama kesho sijaenda kulinda na mlinzi wa getini kwao sijui
 
daaah mm kwangu inakuja hiyo NA nakuondok inaeza ikaepo sikuzima na jion ikatok hat wezangu tuliosom wote nikicheki na zao zote zinakuwa hvy hvy . daah sielew ni tatizo am ni nn
 
Pole mkuu na umefanya uamuzi mzuri kuja kushughulikia hilo tatizo. ukienda wakomalie wakurekebishie mapema kabla hawajatoa majina ya second round
 
daaah mm kwangu inakuja hiyo NA nakuondok inaeza ikaepo sikuzima na jion ikatok hat wezangu tuliosom wote nikicheki na zao zote zinakuwa hvy hvy . daah sielew ni tatizo am ni nn
nacte system yao inasumbua sana hili lako hata mimi pia. sasa imagine walitoa majina ya wanao miss diploma qualification jina langu lilikuwepo.wakai update list yao wakatoa ya pili jina langu halikuwepo. saiv wanasema si kidhi vigezo. afu unaambiwa nenda ofisi zao. hivi watanzania wangapi wana mudu hizi gharama za safari za kushtukiza kama si kuoneana huku
 
daaah polee ila sis wote hatukuwepo kene list ya missing application. so tupo tupo tu maan tuliotok chuo chetu hmn hat mmoj aliechaguliwa mpk sas
 
kama hamna hata mmoja aliyechaguliwa inawezekana chuo chenu hawajapeleka nacte list ya majina ya watu waliomaliza pamoja na matokeo yenu
 
jaman vp kuhusu mkopo kwa sisi tuliotoka dip inatakiwa angalau uwe na gpa ya ngap kwa course za ufund kama una dip ya mechanical eng
 
Mkopo bahati ya mtu na hawaangalii ufaulu wa mtu wanaangalia condition ya maisha ya mtu...
 
Yaani tumekuwa kama Lowasa na Magufuli wanavyoiangalia NEC, wao wanawania kwenda Ikulu na ss chuo, kila siku kununua bando la internet kuangalia kama kimeeleweka. Hebu kamilisheni tujiandae!!!!!!!!.
 
yaanwananiboa sana mimi walinitumia email ina heading hii
Dear Seleman Nasoro
ALREADY ATTENDED
sasa had now hawajanitumia tena me
nashindwa kuelewa nini maana ake hadi sasa
au ndo tumekosa chuo
 
Yaani tumekuwa kama Lowasa na Magufuli wanavyoiangalia NEC, wao wanawania kwenda Ikulu na ss chuo, kila siku kununua bando la internet kuangalia kama kimeeleweka. Hebu kamilisheni tujiandae!!!!!!!!.

hiyo ndo main mengine ilikuwa
if you hav any enquiry do not hesitate to call
nacte wakatoa no. zao bas hiyo email imetoka
awards@nacte.go.tz
 
Wale walioomba nacte fungueni profile zenu sasa hivi,washaanza kuthibitisha selection kwenye profile,mimi ni mmoja wao, wameniadikia hivi

SELECTED

Please be informed that you have been provisionally selected to join below Programme in said Institution/College pending to the confirmation of the Institution/College.
Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program na Chuo kama ilivyo ainishwa hapo chini. Hii itategemea uthibitisho kutoka Chuoni.

MUNGU YUPAMOJA NASI,NAAMINI WOTE TUTACHAGULIWA

Walitoa hzo information tangu siku ile walipotoa kwa wale wa tcu
Yaani wale freshers
 
Back
Top Bottom