Kama umechaguliwa udsm tukusaidie nn sasa
Mm bado ipo vile vile ijabadilika tofauti na capacity kwenye baadhi ya selection zangu kuwa zero??ss cjui ndio inamaanisha nn kwa hawa jamaa
Inamaanisha ukatafute kazi za kufanya hauna nafasi katika mambo ya shule
Safari ya Udom inanukia
Kwangu nimekuta hivi,ndo nimekosa ama
Nafikili kuna shida kwenye attached zako mwisho inatakiwa iwe NA
mungu awe nanyi nacte bila kusahau sisi tcuWale walioomba nacte fungueni profile zenu sasa hivi,washaanza kuthibitisha selection kwenye profile,mimi ni mmoja wao, wameniadikia hivi
SELECTED
Please be informed that you have been provisionally selected to join below Programme in said Institution/College pending to the confirmation of the Institution/College.
Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program na Chuo kama ilivyo ainishwa hapo chini. Hii itategemea uthibitisho kutoka Chuoni.
MUNGU YUPAMOJA NASI,NAAMINI WOTE TUTACHAGULIWA
Namshukuru mungu mm pia nmekuaselected ila tu nawait hyo confmtin
kwangu nimekuta hivi,ndo nimekosa ama
Mambo vp wadau???nacte ndio wamemaliza..wale ambao hawajawa selected inakuwaje????