Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,512
- 2,752
sasa wanachukua muda gani kuziweka kwenye data base yao ndugu. mi nishaanza kuingia wasiwasi wenzangu tuliomaliza nao chuo tume apply kwa the same process wamekuwa selected kwenye chuo hicho hicho tulichotoka mimi still pending. ila capacity zinasoma 0 isipokuwa za hicho chuo tulichotoka kina nafasi baadhi.yani ww taarifa zako hazikuwa katika database hadi tyme hiyo unatakiwa uwekewe n/a
Wale wenzangu nilidhani sababu iliyopelekea kuchaguliwa pale ni kwasababu kile chuo kilikuwa first choice katika selection zao mi nilikiweka kuwa second choice. inachanganya sana ningekuwa Dar ningeenda Nacte sababu watu wengi wanadai kuwa profile inatakiwa kuwa N/A pote. yangu bado ipo kama huyo ndugu inanipa hofu sana