Mambo yashaanza kunoga NACTE!

Mambo yashaanza kunoga NACTE!

Joined
May 31, 2014
Posts
11
Reaction score
4
Wale walioomba nacte fungueni profile zenu sasa hivi,washaanza kuthibitisha selection kwenye profile,mimi ni mmoja wao, wameniadikia hivi

SELECTED

Please be informed that you have been provisionally selected to join below Programme in said Institution/College pending to the confirmation of the Institution/College.
Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program na Chuo kama ilivyo ainishwa hapo chini. Hii itategemea uthibitisho kutoka Chuoni.

MUNGU YUPAMOJA NASI,NAAMINI WOTE TUTACHAGULIWA
 
Jina langu niliona jana ila kwenye profile kulikua Hamna mabadiliko.lakini Leo nimeandikiwa SELECTED, at University of Arusha.
 
MM MWENyewe necta wamenifurahisha saaana ..nimechaguliwa wakuu BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE .UDSM...SASA tuktane hapa wa UDSM
 
Mm bado ipo vile vile ijabadilika tofauti na capacity kwenye baadhi ya selection zangu kuwa zero??ss cjui ndio inamaanisha nn kwa hawa jamaa
 
Back
Top Bottom