Mambo yanazidi kuwa mazuri awamu ya tano

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,155
Ama kwa hakika kasi ya awamu ya tano si tu inaridhisha bali itatufikisha tunapotaka.

Control ya matumizi ya dola kwa manunuzi ya ndani ya nchi ni muhimu sana kuipa thamani fedha yetu.

Wapo wasioitakia mema nchi yetu ila Rais wetu anafanya mambo sahihi kabisa , japo katika mchakato wa kufika tunapotaka lazima ziwepo kelele,lakini hakuna mchakato usiokuwa na maumivu.

Chuma ili kiwe bora lazima kipitie kwenye moto mkali, jipu ili lipone lazima litumbuliwe.

Ili uchumi uonekane kmnufaisha mtanzania wa kawaida lazima tuipe fedha yetu nguvu, na hili la kudhibiti dola ni muhimu.

Ukienda nchi za huko nje nyingi kwakweli matumizi ya dola kwa ndani ni limited, sio dola tu hata cash. Hivyo sisi sio wa kwanza katika hili, bali tumechelewa mno. Inahitajika tukimbie.
 
Unapoanza kujishuku, basi
 
Yako mambo mawili : au umetumwa na watu fulani kuandika haya au hujui kanuni za uchumi
 
Well said walahi
Mwenye Enzi Mungu yuko upande wetu walahi na ninani ata thubutu kuwa juu yetu?
 
1$=2300 tsh

Back
Top Bottom