Mambo yanayoudhi humu jamvini

haya na mimi nitafsirieni hii BTW maana huwa linanipa shida kweli, sisi wengine kingereza chetu ni British Council.
 
haya na mimi nitafsirieni hii BTW maana huwa linanipa shida kweli, sisi wengine kingereza chetu ni British Council.
Labda hapo anamaanisha between
 
hakuna knacho niudh kabsa ppo jf wako poa kama n ufupsho hzo ni swaga 2
 
yote hayo hayanisumbui, life is too short kwa nini niudhike kwa mtu nisomjua
 
kwa hilo jina na avatar yako
hauonekani kama wewe ni mtu wa kuuziwa,
au nimeona vibaya.
 
Namba 4 mie pia inanikera kupita maelezo, watu wanabana maneno utafikiri wanalipia...
 
kuna zile avatars za nyoka halafu mtu kaweka kiwembe kwenye jicho halafu jicho linatoa damu,dah kinanikera balaa


hapo hata mimi nakuunga mkono, i wish kama ungekuwa na option ya kuzuia kuona baadhi ya avatar za watu!!
 
c3ma,mm,cytaki,cyo mm,2onane,2chat


Hahahhaha....utaona 6taki,7bu,4toz,h8.....balaa. Ila kila afanyacho mtu ujue ndo hulka yake,mwingine anaanzisha thread si kweli kwamba tatizo ni lake labda ameanzisha tu watu mmpate pakupiga soga. Mwingine anaamua ku-criticize jinsia ya mtu kutokana na alichokiandika...Mwingine anatengeneza identity (mfano: na log off au nashut down) ili tujue hiyo ni signature ya fulan...ili mradi kila mtu anafanya anachojisikia na kinampa raha..
 

Na 2 ina ukweli.
 
yaani ilimradi tu na yeye ameibua jambo flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…