mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
kama unaweza utufahamishe humu Mungu alisahahau nini hadi Amtume Muhammad?( قَدْ سَأَلَهَا قَوْمٌ مِّن قَبْلِكُمْ ثُمَّ أَصْبَحُوا بِهَا كَافِرِينَ )
المائدة (102) Al-Maaida
Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa.