MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,517
- 39,091
Lazima wabadilike wasifanye vitu kwa mazoeaMixology inaonekana hujaenda Church siku nyingi kidogo kama mie...tuvumilie tu ndo ibada.
Kweli kabisa, Yesu alikua anatoa fursa ya Q&ABora wewe, mimi kinachoniuzi ni kutopata nafasi/kutoruhusiwa kumuuliza maswali/ kumkosoa padri juu ya anacho hubiri.
Kanisa katoliki kila siku ya ijumaa saa kumi jioni ni siku ya mafundisho juu ya yale amabyo yanakutatiza. Unaweza kuuliza swali lolote utakalo tatizo wengi hua hamshiriki hichi kipindi. Ibadani sio sehemu ya kuuliza bali kufafanuliwa na kufundishwa neno kadri ya LitrujiaBora wewe, mimi kinachoniuzi nikutopata nafasi/kutoruhusiwa kumuuliza maswali/ kumkosoa padri juu ya anacho hubiri.
Kimsingi ratiba lazima iheshimiwe. Dunia imebadilikaMfano misa inaanza saa tatu mpaka saa tano ndiyo ratiba yakawaida sasa unakuta kuna ugeni labda wa padri au wale wanafunzi mashemasi matangazo marefu wanaunganisha na wale mabwana
Stori zinakuwa haziishi me huwa naondoka
Ikifika saa tano na dk10 tu
Siku moja mlinzi ananirudisha mzozo wake haukuwa mdogo mlinzi mmoja alikuwa na busara kidogo alielewa hoja yangu
Dini haziwapi waumini nafasi ya kuhoji na kunoa bongo..dini zipo kutengeneza misukule ya ndio mzee.Bora wewe, mimi kinachoniuzi ni kutopata nafasi/kutoruhusiwa kumuuliza maswali/ kumkosoa padri juu ya anacho hubiri.
Kama na swali kuhusiana na hubiri la siku hiyo napataje chance?Kanisa katoliki kila siku ya ijumaa ni siku ya mafundisho juu ya yale amabyo yanakutatiza. Unaweza kuuliza swali lolote utakalo tatizo wengi hua hamshiriki hichi kipindi. Ibadani sio sehemu ya kuuliza bali kufafanuliwa na kufundishwa neno kadri ya Litrujia
PS. Mimi kikwazo changu ni kwenda kutoa sadaka mbele ya kanisa au kupokea Eucharist mbele ya kanisa halafu ukirudi macho ya waumini ambao wengi ni wanawake wakuangalia mwanzo mwisho. Kwakweli hili ni kikwazo Kwangu
Ukiwa na dhambi usile hiyo kituMimi nachukia kunyimwa ekaristi takatifu kisa dhambi zangu lakini hapo hapo sadaka zangu wanazipokea au hata kunidai nisipotoa.
Napenda muda wa kutoa sadaka, muda huo macho yangu huwa kwa warembo na namna walivyopendezaWasalaam wana JF,
Kesho jamii nzima ya kikristo au sisi wakatoliki tunaanza kwaresma siku 40 za kufunga na kufanya ibada nyingi.
Pamoja na zoezi hilo, naomba niorodheshe mambo yanayonikera kanisani kama yafuatayo:
1. Kwaya kuimba nyimbo ambazo waumini hawazijui. Yaani wanaimba wenyewe tu mavitu ambayo hatuelewi na hatushiriki;
2. Uwingi wa matangazo, makanisa yanakua kama platforms za matangazo, yanapoteza muda na kurefusha ibada;
3. Urefu wa mahubiri, mapadre wanaongea sana, waongee kwa kiasi ujumbe utafika tu;
4. Sadaka za kushtukiza, watu wapewe taarifa mapema watatoa tu; na
5.kushindwa kufuata ratiba za ibada. Hii ni mikoani zaidi, unakaa zaidi ya nusu saa ibada haijatoka tofauti na ilivyoandikwa kwenye time table.
Nawatakia kwaresma njema.
Hivi bro, kati ya amri za Kanisa (Kanisa Katoliki) Amri hii inayosema: Hudhuria Dominika na Sikukuu zilizoamriwa ni ya ngapi vile?Zingatia TU itifaki zao au usiende maana sio Dhambi kutokwenda.
waweke ata chat rooms watu watupie maswaliKama na swali kuhusiana na hubiri la siku hiyo napataje chance?
#MaendeleoHayanaChama
Hua naumia zaidi kuona padri anakunywa divai pekeyake..hao jamaa sijui wakoje kazi kutulisha mikate tu.Mimi nachukia kunyimwa ekaristi takatifu kisa dhambi zangu lakini hapo hapo sadaka zangu wanazipokea au hata kunidai nisipotoa.