Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
KWA WANANDOA PEKEE | NA WANAOTARAJIA WATOTO
Ukiachana na Zile Sarakasi | Mibinjuko ya 6 kwa 6 na Vilio vya Mahaba kutoka kwa Ma Mtu
Kikubwa Zaidi KinachoFanya Mwanamke Apate Ujauzito au Mimba ni BAO | SHAHAWA | MSHINDO
Mimba hutokea pale shahawa (mbegu za mwanaume) zenye ubora zinapokutana na yai la mwanamke na kulirutubisha.
Sasa, hizi ndizo SIFA MUHIMU za SHAHAWA | MBEGU za mwanaume zinazoweza kumpa mwanamke mimba
1. ZIWEPO KWA WINGI WA KUTOSHA (Sperm Count)
• Shahawa lazima ziwe nyingi vya kutosha
• Kisayansi inasemekana Kila Mshindo wa Mbegu unatakiwa Ujazo wa Kijiko kimoja au Viwili vya chakula
• Mbegu Zikiwa Chache sana → nafasi ya mimba hupungua
2. ZIWE NA MWENDO MZURI (Sperm Motility)
• Shahawa lazima ziwe zinatembea kwa kasi na mwelekeo sahihi
• Yaani Hapa Tunamaanisha lazima shahawa zako ziwe na kasi zinapotoka kwenye Uume wako ili ziweze Kufika kwenye mirija ya uzazi (Fallopian tubes)
3. UMBILE SAHIHI (Sperm Morphology)
• Shahawa bora huwa na:
Kichwa kizuri (cha kupenya yai)
Mkia imara (wa kuogelea)
• Shahawa zenye maumbo mabaya:
Haziwezi kupenya yai
Au hufa njiani
4. SHAHAWA ZIWE HAI (Sperm Viability)
• Shahawa lazima ziwe hai
Shahawa zilizokufa haziwezi:
Kuogelea na Kurutubisha yai
👉 Mwanaume anaweza kutoa shahawa nyingi, lakini kama zimekufa → hakuna mimba
5. MAZINGIRA YA SHAHAWA YAWE SAHIHI (pH & Semen Quality)
• Shahawa bora huwa:
Sio nzito sana wala nyepesi sana
Ina pH ya alkaline (kulinda sperm dhidi ya asidi ya uke)
• Shahawa nzito kupita kiasi → sperm zinashindwa kusogea kwa urahisi na Zikiwa nyepesi sana zinakuwa hazina Virutubisho muhimu
6. ZIWE ZINADUMU MUDA MREFU MWILINI
• Shahawa bora zinaweza kuishi:
Siku 3–5 ndani ya mwili wa mwanamke
• Ndiyo maana hata tendo kabla ya ovulation linaweza kusababisha mimba

Shahawa zisizotembea = hazifiki kwenye yai