J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 703 Reaction score 1,227 May 10, 2021 #1 Kutokuwa na Katiba madhubuti (Katiba ya Wananchi) Kutoheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sheria mbaya, zenye mapungufu au zilizopitwa na wakati Uelewa mdogo wa Sheria, zikiwemo zinazohusu Haki za Binadamu Kutofuata utaratibu wa Kisheria Mapungufu ya bajeti katika Sekta muhimu Kutotii Sheria Uelewa mdogo wa Haki za Binadamu baina ya Wananchi na Viongozi wao Kukosekana Uwajibakaji wa Kitaasisi na hata Mtu mmoja mmoja Upvote 2
Kutokuwa na Katiba madhubuti (Katiba ya Wananchi) Kutoheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sheria mbaya, zenye mapungufu au zilizopitwa na wakati Uelewa mdogo wa Sheria, zikiwemo zinazohusu Haki za Binadamu Kutofuata utaratibu wa Kisheria Mapungufu ya bajeti katika Sekta muhimu Kutotii Sheria Uelewa mdogo wa Haki za Binadamu baina ya Wananchi na Viongozi wao Kukosekana Uwajibakaji wa Kitaasisi na hata Mtu mmoja mmoja
leonaldo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 2,584 Reaction score 3,185 May 10, 2021 #2 Mh Kama CCM ndo huwa wanatunga sheria kwa kuzingatia maslahi ya chana Chao bado tuna Safari ndefu.