Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,730
Katibu wa maswala ya biashara huko marekani amesema janga hivyo virusi ni fursa kwao. Napata walakini hapaUnaweza kuta ni mtu amekaa akaamua kutengeneza hivi viruses kwa lengo fulani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walivyofanya kwenye Ukimwi na ebola.Unaweza kuta ni mtu amekaa akaamua kutengeneza hivi viruses kwa lengo fulani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katibu wa maswala ya biashara huko marekani amesema janga hivyo virusi ni fursa kwao. Napata walakini hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa aisee!Kama walivyofanya kwenye Ukimwi na ebola.
We ..ma una roho mbayaWamewatia Waislam vizuizini (detention) kwa kuabudu kwao tu. Sasa mpaka waelewe kuwa Dini kwa Allah ni moja tu.
Hii ndiyo roho nzuri kwako...
kwahiyo wale waarabu waliopigwa na mabomu kule iraq na USA na wao wana laana ya MUNGU au.....?Wamewatia Waislam vizuizini (detention) kwa kuabudu kwao tu. Sasa mpaka waelewe kuwa Dini kwa Allah ni moja tu.
kwahiyo hapa ndio umejibu hoja.....wee bibi unazeeka vibaya ujueHata Yesu mmemfanya laana itakuwa Waarabu?
Tutawaweza wapi nyinyi kwa kuipenda laana?
Nimejibu ushuzi wako. Kwani wewe ulikuwa na hoja ipi zaidi ya kuchafuwa hali ya hewa?kwahiyo hapa ndio umejibu hoja.....wee bibi unazeeka vibaya ujue
😃😃😃😃😃 hivi ndio mtu mzima anavyo paswa kuongea mbele ya hadhiraNimejibu ushuzi wako. Kwani wewe ulikuwa na hoja ipi zaidi ya kuchafuwa hali ya hewa?