englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Asili haiachiki mambo mengine ni kazi tu!
Hata mimi nimeupenda wimbo wanaoucheza:
"...Nani kamwaga pombe yangu,nauliza?"
Huyu mama anafanana na waziri wa mambo ya ndani Nchimbi!!!
Huyu mama naye ni Nchimbi, Dr. Rehema Nchimbi mkuu wa mkoa wa Dodoma lakini mlokole haswa