MWANASIASA HURU
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 180
- 244
Boy and girl
Mpaka kifo nitakuwa naye.
Ibirisi alikuingiaje mpaka ukafanya ulilolifanya? Je, angekuwa na ugonjwa si ungesambaza kwa huyu wa ndani? Najua nitashambuliwa na wanaume ila mimi kama mimi nikipenda ni huyo huyo basi.Mi sio malaya sema nina bahati mbaya..
jiue wakose wote
Ahsante sana Mkuu kwa ushauri najitajidi kadri ya uwezo wangu lakini huyu niliyemsaliti she wants to push me out from my kid ... it’s like kind of revengesuper, ila take care of them. don't assume responsibilities.
Na kama huo ndio uzao wako wa kwanza, be very careful. Pia kuwa mwangalifu na hao kina mama, heshima yao na hisia zao tunza vizuri, vinginevyo pia inaweza kuwa mwanzo wa kuharibu maisha ya ndoa baadae.
Ahsante
My dear sister... nilijuta tangu siku ya kwanza na nikasema sitarudia tena ... kumbe bora ningefanya iwe siri tu asijueIbirisi alikuingiaje mpaka ukafanya ulilolifanya? Je, angekuwa na ugonjwa si ungesambaza kwa huyu wa ndani? Najua nitashambuliwa na wanaume ila mimi kama mimi nikipenda ni huyo huyo basi.
Siwezi kutafuta mwanamke mwingine kwa sasa hivi sina hiyo courage wala uwezo ... Bado nampenda sanaTafuta mzee mwenye busara aka apologise kama atakuwa akuelewi akiwa anafanya hivyo jaribu kuwa karibu nae kwa kumpigia huku hukiwa kama unajutia kosa lako Husitafute mwanamke mwingine kwa kumkomoa itakutesa sana siku za mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
With two kids ?...bro siwezi kufanya hivo give me another optionjiue wakose wote
Ahsante sana Mkuu kwa ushauri najitajidi kadri ya uwezo wangu lakini huyu niliyemsaliti she wants to push me out from my kid ... it’s like kind of revenge
Pole sana nimetumiwa clip moja wanasema eti wanawake tudange maana hakuna mwanamme ambaye anatulia. Eti mwanamme wa mke mmoja hajazaliwa. Naweza amini au siwezi sababu mpaka yanikute. Lea watoto na jaribu kutulia na save as much as you can maana utahitaji kuwatunza hao viumbe. Kuwa na msimamo usipelekeshwe kwa matumizi ambayo yanazidi kipato chako.My dear sister... nilijuta tangu siku ya kwanza na nikasema sitarudia tena ... kumbe bora ningefanya iwe siri tu asijue
😂 Asante mkuuAisee,watoto wengi sana humu ungekutana na mikasa ya kupigwa mitama na mabwana wa mkeo we si ungejaza post kila mahali humu.
Komaa we mwanaume wa dar ukahamia mkoani
Ameniudhi sana, dada wa watu kajitunza lakini hakuona thamani yake. Seriously ukakeshe na mwanamke mwingine bila hata kinga?!Huyu jamaa kweli popoma,
Uwongo mwingi hadi anachanganya mafaili
Wanasemaga hamna singo father, watoto wako na mama zao labda akawachukue ndo tumuite singo fatherYeye kawa kawa single father pia...
Hii staili yako ya mwaka 2020 ni kibokoNgoja waje kukupa muongozo