Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Dec 27, 2010 #1
K kibamba Member Joined Oct 18, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Dec 27, 2010 #2 He! umebadili avatar kweli hatukuwezi
K kibamba Member Joined Oct 18, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Dec 27, 2010 #3 Picha ya katikati wa kwanza kulia ni moto
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Dec 27, 2010 Thread starter #4 kibamba said: Picha ya katikati wa kwanza kulia ni moto Click to expand... Aise nilikuwa sijaiona vizuri halafu kama nanihii inaonekana vile though u ned a higher magnification lens
kibamba said: Picha ya katikati wa kwanza kulia ni moto Click to expand... Aise nilikuwa sijaiona vizuri halafu kama nanihii inaonekana vile though u ned a higher magnification lens
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Dec 27, 2010 #5 in'ye
N ngara Member Joined Nov 4, 2010 Posts 11 Reaction score 0 Dec 27, 2010 #6 kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu.
kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Dec 27, 2010 #7 ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... Hao wapo kikazi zaidi mambo ya ridhiki hayo
ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... Hao wapo kikazi zaidi mambo ya ridhiki hayo
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,740 Dec 27, 2010 #8 ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... biashara matangazo
ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... biashara matangazo
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,485 Dec 27, 2010 #9 hivi hako kajamaa kanakocheza picha ya tatu mbona uwa sikaelewi ni karijali kweli? kana swaga za wale jamaa wale wanaopiga mwizi kwa maganda ya yai
hivi hako kajamaa kanakocheza picha ya tatu mbona uwa sikaelewi ni karijali kweli? kana swaga za wale jamaa wale wanaopiga mwizi kwa maganda ya yai
Kivumah JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,427 Reaction score 1,060 Dec 27, 2010 #10 naona Bongo ni kama Newyork Now days.
B Batale JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 1,148 Reaction score 556 Dec 27, 2010 #11 Used a million times, hakuna jipya wambie wavae kaniki utafikiri mizimu.
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 201 Dec 27, 2010 #12 Naona jamaa wametinga tinted glasses ndani ya giza inapendeza sana
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Dec 27, 2010 #13 ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? Mbona mnajiachia hivyo? Hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... Wapo kibiashara zaidi. Ofisi ni popote mkuu!
ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? Mbona mnajiachia hivyo? Hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... Wapo kibiashara zaidi. Ofisi ni popote mkuu!
L Leornado JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 1,529 Reaction score 199 Dec 27, 2010 #14 ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... Ebo wewe hujui kuwa hiyo inaitwa the Big London Exhibitions......wako mawindo wengi wao japo si wote.
ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... Ebo wewe hujui kuwa hiyo inaitwa the Big London Exhibitions......wako mawindo wengi wao japo si wote.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,231 Dec 27, 2010 #15 Hapa kidoooooooooogo naweza kushawishika.
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Dec 27, 2010 #16 wanawake kukaaa uchi siku hizi mnaona dili sana eeeh
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 906 Dec 27, 2010 #17 Biashara ilikwisha ingiliwa mdudu wateja wamepungua hivyo lazima matangazo yaongezeke! Iko siku watu wata kuwa wanalazimishwa kuonja kwanza kama karanga, akipenda ananunua! Watu weweeeee!
Biashara ilikwisha ingiliwa mdudu wateja wamepungua hivyo lazima matangazo yaongezeke! Iko siku watu wata kuwa wanalazimishwa kuonja kwanza kama karanga, akipenda ananunua! Watu weweeeee!
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,822 Reaction score 1,432 Dec 27, 2010 #18 Alaji alaji... Wish i were there,bata mwanz0 mwisho.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Dec 27, 2010 #19 ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... Waache bana, hizo ndio flowers zenyewe! mbona mimi party hizi sialikwagi?
ngara said: kwa nini wasichana msivae nguo za kujisitiri miili yenu? mbona mnajiachia hivyo? hamuoni wanaume walivyovaa kiheshima? Hebu jiheshimuni mnatuaibisha wanawake wenzenu. Click to expand... Waache bana, hizo ndio flowers zenyewe! mbona mimi party hizi sialikwagi?
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Dec 28, 2010 #20 Jamni bongo jotooo