Mambo ya wanaharakati Muhimbili... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya wanaharakati Muhimbili...

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Feb 8, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [h=3]WANAHARAKATI WAANDAMANA KUSHINIKIZA SERIKALI ICHUKUE HATUA JUU YA MGOMO WA MADAKTARI WA MUHIMBILI[/h]
  [h=3][/h][​IMG]Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Sheria na Haki za Binadamu (<wbr>LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba akizungumza na waandishi wa habari katika maeneo ya Salender Brige, kuelezea maadamano ya wanaharakati hao ya kuishinikiza serikali kuchukua hatua na kutatua mgogoro wa mgomo wa Madaktari wa Hospitali ya Muhimbili, ulioanza hivi karibuni na ambao bado unaendelea. Ameongeza kwamba hali ya wagonjwa inaendelea kuwa mbaya zaidi kwa sababu ya mgomo huo, Dk Hellen Kijo-Bisimbamara baada ya kumalizika kwa maandamano hayo yaliyofanyika leo.
  [​IMG]Mkurugenzi wa TAMWA, Analilea Nkya akiwa ameshikilia bango lake wakati wa maandamano hayo jijini Dar es salaam leo.
  [​IMG]Polisi wakiwaamuru waandamanaji watawanyike mara baada ya kufika katika eneo la Salender Brige jijini Dar es salaam leo.
  [​IMG]

  Mkurugenzi wa TAMWA,Mama Ananilea Nkya (kulia) akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mbalimbali kuhusiana na maandamano yao yaliyodumu kwa muda wa masaa mawili hivi kwa ajili ya kuishinikiza Serikali ikae meza moja na madaktari na kuhakikisha mgomo wao unakoma mara moja na kuhakikisha shughuli za matibabu hospitali ya Muhimbili na nyinginezo zinaendelea kama kawaida.
  [​IMG]
  Amri ikitolewa kuwataka wanaharakati kuondoka eneo hilo,kwani ilielezwa kuwa maandamano hayo yamefanyika bila kubarikiwa.

  [​IMG]
  Askari wakiwa eneo la tukio mapema leo jioni.

  [​IMG]
  Ujumbe kutoka kwa wanaharakati hao.

  [​IMG]

  Mwanaharakati akiwa na ujumbe wake.

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  ila kuna ukweli, jamani tunakufa
   
 3. sister

  sister JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,027
  Likes Received: 3,933
  Trophy Points: 280
  dah hayo maneno ya kwenye mabango yanasikitisha sana, Mungu tunusuru jamani na hili janga, Raisi si ukaombe msaada wa madaktari kutoka nje kama unavyofanyaga kwenye mambo mengine.
   
 4. k

  kalessa Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyerere alishamwona huyu mkuu wa nchi yetu kuwa hafai kuwaongoza watanzania sasa tunayaona. Swala sirious case kama hii siyo la kulikalia kimya mda mrefu namna hii. watanzania tuingie barabarani tuwaokoe ndugu zetu wanao teseka hakuna njia nyingine, maana viongozi wetu wote wamechemka ni aibu kwa nchi, Hata hivyo nina wasiwasi mkubwa na elimu ya viongozi wetu hawa.
   
 5. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mtamsikia Pinda leo kama Kapinda!!
   
 6. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  anapinda lakini akumbuke atakuwa mbuzi wa kafara
   
 7. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Madaktari hakikisheni akina mama ananilea nkya na bi simba hawashitakiwi??
   
 8. i

  ivy blue carter Senior Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  loh! NIMEIPENDA HII 'TUFE ILI UJE MSIBANI'
  NA ANAPENDA KWELI YAN KUZURU MISIBANI MMH.
  INATIA HURUMA HALI YA TAIFA HILI.
   
 9. Bwaksi

  Bwaksi Senior Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jk kachoka, achia ngazi nchi itawaliwe na rais makini
   
 10. G

  GYNO Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gomeni mpaka mpewe huo mkwanja cio mrefu kiivo wawape tu sie makonda tumepanga j2 nasie tunakinukisha
   
Loading...