lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 311
- 644
Hata sehemu ya kuhifadhi mavi ya watoto wetu tunapewa msaada wa ujenzi wa choo na watu wa Canada. Watu wa Canada, wanavuja jasho, fedha zao zinakusanywa kuletwa kwetu ili tujengewe vyoo vya kulenga. Hamtaki waseme? Wakijenga vyoo ni marafiki. Wakisema acheni uduanzi ni mabeberu.