Naupenda.
...nini..? mchezo au muonekano..? au A na B ni majibu sahihi..?
santeee ni mchezo mzuri tu.Naupenda.
kwahiyo ukiwa mkubwa halafu hauna kitu itabidi uitwe dogo?pesa ndo ukubwa wenyewe huo....ndicho nilikuwa namaanisha
Yaani unamaanisha zali zimepotea kabisa mjini.labda mkuu,embe dodo kwenye muarobaini?siku hizi hakuna kitu kama hicho mkuu,ukiwa nazo litakuangukia tu
Ndio maana wanafumuka.Kuna watu huwa hawatumii maji wakienda msalani...huwa wanatumia hamira...
Nafikiri anamaanisha vyote vyote....nini..? mchezo au muonekano..? au A na B ni majibu sahihi..?
Yaani unamaanisha zali zimepotea kabisa mjini.
Nalog off
Dah! kweli dunia imekwisha.yap mkuu,muda wa zali ulishakwisha,saa hizi pochi lako ndo litakufanya ule papuchi uitakayo