Mambo ya uswazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya uswazi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Feb 24, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Uswazi ni kawaida sana kuona mtu anatoka na khanga moja kwenda dukani kwa Mangi
  Jamani khanga ina hamasa zake kwa wapenda nao mtoto wa mboga saba akija uswazi aone mambo ya khanga moja lazima ataishia kujichafulia kwa suruali. Uswazi kuna raha zake jamani.
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Aiseee hommie ukifika TIP TOP kama unakata kuja TANDALE UZURI halafu unarudi kama vile unaenda kutokea njia ya kwenda MABIBO kheeee kheeee kheee kule ni hatari kuna haja ya kufanya RESEARCH kama ya wiki hivi
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hii picha ingekuwa nzuri sana kama ingeonyesha huyo mwanamke yuko kwenye motion ya kutembea sipati picha na hiyo khanga l.o.l
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Usione watu tunang'ang'ania kula bata uswazi kuna raha zake bane asikwambie mtu. Yaani kama Chuda vile
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Sasa kwa shemeji yako mlango wa pili anako elekea Bi Mwanakombo
   
 6. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  uswazi wanaume hawana stimu mpaka wapange siku na kwenda lodge ndio wapandishane stimu.hata mwanamke akivaa nguo fupi sana zaid watamsimanga kwa maneno lakin suruali zao zikiwa flati bila kutuna kokote .mie nadhan ni kwasababu ya uchafu,uswazi mwanamke anashinda na khanga mpaka mchana yaan bila kugusa maji,akikupitia karibu unaweza kuzimia kwa harufu.ila wakioga hao wakafika town,unaweza dhania wametokea masaki
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hommie spika kubwa zimewekwa nje kwenye uwanja mduara unazungushwa mchana kweupe aisee uswahili bana vijana wakware wamezunguka wanasubiri mmoja wao banana zimleweshe waondoke naye l.o.l
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kushinda na khanga moja kuna fanya bailojia ishinde inapumua na mazingira yote husika mpaka kule dawasco kunakuwa shwari hakutemi ovyo ovyo harufu kama wewe unavyo dhania kitu kinapunga upepo full time
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ahaaaa ahaaaa ahaaaa fidel bana, akiwa anaenda kununua maandazi ya chai asubuhi
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha kidume nimemwezesha hapo kodi ya miaka 2 ni 240,000/= najua wewe pesa hiyo unatumia wiki mbili imekata mwenzio nimempangia shemeji yako hapo na nikifika hapo napiga mluzi tu nazama geto kula lunch
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ngoja nikachekee nje l.o.l
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Habari yake uswaziiiiiiiiiiiii teh teh teh
   
 13. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  basi we ndio hujui.dawasco ukipaacha wazi panaathiri mitambo yote kwani koki hupunguza nguvu na kuruhusu matone kudondoka zaidi.kiusafi kufuli ni muhmu zaid na nguo pia
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Na joto la Dar hili unavaa qupi + skin tight + kijeans (ili uonekane una kakalio)+ sketi au suruali hivi ukizivua hizo si utatengeneza sumu ya mbu?
   
 15. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuvaa khanga hakukatazwi lakini ujisitiri kidogo bahati mbaya wapite madogo wanakimbizana alafu ashike hicho kikhanaga si inakuwa balaa lingine
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unamwaga radhi
   
 17. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  madhara ya kanga moko niliyaona siku ya mabomu gomz kina mama wengi walikimbia uchi vyombo njenje:decision::rain:
   
 18. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  siku hizi hatuvaagi hivi bana, tunatembea uchi kabisa!
   
 19. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hayo ndio maisha halisi ya Mtanzania! INAUMA sana!!
   
 20. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii kama mitaa ya home kwetu vile!!!!
  Hata hilo PAZIA ndo lenyewe, KARIBUNI kwetu USWAZI!!!
   
Loading...