Mambo ya uswazi!

ila mbona kama mshikaji ancheka! au wanacheza!
 
shavu laonekana jamani anacheza na huyo dada. anikumbusha zamani kucheza cheza
 
Mhe. Rungu naungana kabisa na tasia I na Shakazulu. Unafikiri kama lingekuwa timbwili kweli hiyo kanga au hiyo bukta ingekaa mahali pake kama hivyo? Yaani hata miguu yao ni misafi kabisa. Kweli hawa wanajifurahisha tu.
 
Wanacheza. Ingekuwa kiukweli babu kule nyuma asingeendelea na business yake ya kunywa uji.
 
Ni michezo baada ya shibe, kawaida wa dada hupenda kukamata "vitendea kazi" vya wanaume kwenye matimbwili. Na ukiangalia mikono ya mdada imeshika kiuno cha jamaa .........., badala ya ku-mtait hapo "ikulu"
 
Wanacheza. Ingekuwa kiukweli babu kule nyuma asingeendelea na business yake ya kunywa uji.

Babu aliwazuia wasipigane lakini wao wakabisha. Sasa akasema kwa kuwa hamkunisikiliza nyie piganeni na atakayeshindwa atatia adabu. Ndo maana unamwona babu hana time nao kabisa.
 
yah, vimichezo kama hivi vinafurahisha sana na vinasukuma sana masaa huku kwetu uswazi
 
wanacheza obviously nyama ya chickbone inaonyesha!kucheka si mdomo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…