Cereal Killer Senior Member Joined Aug 17, 2015 Posts 130 Reaction score 55 Sep 6, 2015 #62 Mungu aendelee hivhivi kutulinda na lowassa awe raisi wetu Ameen
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Sep 6, 2015 #63 uswazi bila kipinduindu....
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 5,225 Reaction score 7,083 Sep 6, 2015 #64 Amavubi said: uswazi bila kipinduindu.... Click to expand... Kuna baadhi ya watanzania ambao hawauoni uchafu kama kero.Hali hii inaonekana wazi katika baadhi ya vitongoji vya Dar.Watu wanaishi na kula vyakula vyenye uchafu katika maeneo machafu.
Amavubi said: uswazi bila kipinduindu.... Click to expand... Kuna baadhi ya watanzania ambao hawauoni uchafu kama kero.Hali hii inaonekana wazi katika baadhi ya vitongoji vya Dar.Watu wanaishi na kula vyakula vyenye uchafu katika maeneo machafu.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 7, 2015 #65 ubuntuX said: Hivo vimaji maji vya chooni vikirukia ndo vinazidi utamu Click to expand... Nyie watoto wa kota acheni kujishaua hapa. Mtuwache, hivyo ndivyo vilivyotukuza na tuko fiti ile ile haina cha afya mgogoro wala kipindipindu hiyo. Sikumbuki maishani mwangu mara ya mwisho niliumwa lini
ubuntuX said: Hivo vimaji maji vya chooni vikirukia ndo vinazidi utamu Click to expand... Nyie watoto wa kota acheni kujishaua hapa. Mtuwache, hivyo ndivyo vilivyotukuza na tuko fiti ile ile haina cha afya mgogoro wala kipindipindu hiyo. Sikumbuki maishani mwangu mara ya mwisho niliumwa lini
ubuntuX JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 1,998 Reaction score 2,242 Sep 7, 2015 Thread starter #66 HARUFU said: Nyie watoto wa kota acheni kujishaua hapa. Mtuwache, hivyo ndivyo vilivyotukuza na tuko fiti ile ile haina cha afya mgogoro wala kipindipindu hiyo. Sikumbuki maishani mwangu mara ya mwisho niliumwa lini Click to expand... Mkuu unamwambia nani sasa wakati mimi ndo nimeenda kununua hapo..na nkasema mungu anatustiri sana tu
HARUFU said: Nyie watoto wa kota acheni kujishaua hapa. Mtuwache, hivyo ndivyo vilivyotukuza na tuko fiti ile ile haina cha afya mgogoro wala kipindipindu hiyo. Sikumbuki maishani mwangu mara ya mwisho niliumwa lini Click to expand... Mkuu unamwambia nani sasa wakati mimi ndo nimeenda kununua hapo..na nkasema mungu anatustiri sana tu
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 8, 2015 #67 ubuntuX said: Mkuu unamwambia nani sasa wakati mimi ndo nimeenda kununua hapo..na nkasema mungu anatustiri sana tu Click to expand... Pamoja ....
ubuntuX said: Mkuu unamwambia nani sasa wakati mimi ndo nimeenda kununua hapo..na nkasema mungu anatustiri sana tu Click to expand... Pamoja ....
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Sep 8, 2015 #68 Vinakuwaga vitamu hivyo balaaaaaa