uzunguni hawafi au siyo?Msijidanganye na kujipa moyo, huko uswahilini watu wanakufa kila siku na sababu za vifo hazijulikani, tena wengi wanaondoka bado wadogo tu. Katika tembea yangu yote, sijawahi kuona misiba kama Tanzania.
uzunguni hawafi au siyo?
Mkuu kuugua wote wanaugua sawa sema wa Masaki wana mpaka daktari wa Familia, mtu akiugua mafua check up Aga khan kama sio India wakati uswahilini Daktari Mungu.Wanakufa, lakini kwetu idadi ya vifo ni imezidi sana.
Mkuu kuugua wote wanaugua sawa sema wa Masaki wana mpaka daktari wa Familia, mtu akiugua mafua check up Aga khan kama sio India wakati uswahilini Daktari Mungu.
Nimeishia kuguna tuu
hii avatar ya nleta mada
Mmmmmm! lkn haina shida, naamini under 18 hawapiti huku
Samahani huyo mdudu hana jina hebu jitahidi angalau tumjue jina maana sisi bado tupo shule na huwenda akawepo kwenye mtihani wa shule
wakipita wamedanganya umri
Wakidanganya umri ni sawa na kutuchungulia tukiwa tuna do, tukiwashitukia ni bakora tu
Makazi yake ni vichochoroni na kwenye mapango yenye giza na harufu tofauti tofauti, hana miguu lakini akiona adui huwa anasimama na kutema sumu kali ambayo ikimpata mtu inaweza kumfanya avimbe kwa miezi kadhaa mara nyingi haizidi miezi 9 mwathirika anapona bila kutumia dawa.anaitwa ubuntuX. Si mdudu ni mnyama. Anazalisha mbegu. Anaishi kichochoroni. Anakula vitumbua.