Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
iko wapi?
Haionekani!
Ukitumia simu signature haionekani...Kimbia Cafe hapo Nanihii-Complex!
nioneshejamani haujaiona tu?
nioneshe
umeificha wapi?
au huko kwenye mkono ?lol
Heri ya mwaka mpya mpnz,Ndo itakuwa signature yangu kuanzia sasa mpaka hapo nitakapopata nyingine.Nimekaa chini nikaiwaza sana, ukiiangalia kwa macho ya pikipiki hautaielewa lakini imebeba ujumbe mkubwa sana! Lovely weekend to all
Heri ya mwaka mpya mpnz,
Huishi vituko ww,
Hope ushapona na hiyo avatara yako mmmmh!
huwa inanikumbusha mdogo wangu wa kiume alipokuwa katdogo alikuwa mda wote katumbukiza mkono humo lol!
Wiki end njema.
Ua ngwalagwala. na ukurutu..mmmm
Nafurahi kusikia uko fiti as usual,nimeshapona kipenzi na niko fiti kweli sasa.lol nilikuwa natama niitoe avatar hii basi siitoi tena
Nafurahi kusikia uko fiti as usual,
Usiitoe bwana, kwan kila nikiionaga najikuta natabasamu lol!
Zis iz hau breini weks!!!
Unaendeleaje na umaarufu wa hyo signature yako? Imeanza kuonekana tayari?