Mambo ya ufukweni weekend!

hawampi uhuru-
awaangalie wenzake wa west wanavyovaa wakiwa beach
 
Hahahahanaaa....

Hii nimeipenda sana, kwa mtindo huu next week-end lazima niende swimming na wife wangu!
 
hao wote wanaume, angalieni vizuri...hamna mwanamke hapo, hyo ninja ya uongo tu.
chezea arab wewe!
 
Safi sana,starehe zako zisiwe kero kwa wengine,utakuta limwanamke makalio kama limeongezea na ya kwake ukiacha yale aliyozaliwa nayo, halafu eti limevaa bikini tu mbele ya vidume kisa lipo beach!!Big up bibie!!
 
Majungu ni kawaida ya watanzania. Beach waende mtu na mkewe kwa raha zao nyie mkereke kisa vazi?!!.....hiyo iko low tu sana!:embarassed2: Au huwa hamuoni watu wamevaa jeans, wengine magauni ya kulalia, wengine vitenge wakiwa beach!:nerd:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…