Mambo ya sumbawanga

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,258
Reaction score
13,368
Pale unapojifanya ww kidume Unataka kupitia kila mwanamke ile unaenda kuagiza oda ya vinywaji unarudi ndani unamkuta mwanamke uliyemwacha kitandan yuko hivi
 
Simkimbii, hivyo hivyo alivyo ataipata. Halafu amekaa vizuri.
 
Piga maombi atatoka mwenyewe bila kuguswa.
Maombi ya mwenye dhambi ni sawa na kelele tu mbele za Mungu.

Maana mpaka umefikia hatua ya kuchukua huyo mwanamke ulikuwa umedhamiria kufanya dhambi ya uzinzi.
 
Jamani asikuambie mtu miaka ile
Tunatoka disko vumbi tuko wengi tumefika maeneo ya mbugani duuh aise sikumbuki kilikuwa nini kitu kama ng'ombe lakini hakina kichwa kinakuja mbele yetu tukageuza kurudi tulikotoka kikatuandama mpaka tulipofika maeneo ya makazi kikatoweka
 
Princess Peter asikuambie mtu
dude hata halieleweki jeusi tii halafu mbalamwezi ilikuwa imeangaza vizuri kweli tulikimbia
na hatukurudi mpaka kesho yake
 
Dah! Kilo ya nyama ilivyoghali na maisha yalivyo magumu ningefurahi kinoma
 
Sidhan kama Nita nitaweza hata kunyenyua mguu
 
Leave my homeland alone....or I'll shrink yo asss....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…