Mambo ya Simba na Yanga yametoweka kabisa

Mambo ya Simba na Yanga yametoweka kabisa

Mimi nilikua shabiki wa Simba lialia ila nilijiona mpumbavu baada ya mauaji ya raia ya October 29 sio Ahmed Ali wala official page ya Simba waliopost walau ku recognize vifo vya wanasimba walipoteza maisha badala yake waliendelea kupost issues nyingine kabisa kama vile hakuna kilichotokea.

Nime unfollow takataka zote. Kama ni mpira acha nishabikie clubs za Ulaya walau hizo zinathamini utu.
Yaani kila mtu anafwatilia kimyakimya tena kwa kuchungulia maana nafsi inamsuta kama hawa jamaa wengine wameuwawa huku wamevaa jezi za vilabu vya simba na yanga halafu timu zimekaa kimya,kumbe tulikuwa tunatumika bila kujijua
 
Back
Top Bottom