Mambo ya selfie & filters

Embu weka picha yake kabla ya kutumia carolight tuone alivyokuwa
 
weeeee!!JOSEPHINE Amejikoroga mpaka kawa hivi???????
 
Wakuu BAK na idawa, pitieni hapa muwaone Rais na First Lady wenu wa Ufipa, Kinondoni. LOL! :laugh: :laugh: :laugh:.
 
Last edited by a moderator:
Josephine please stop that. Ina maana uafrika unauchukia that much? Please please acha bwana. Wewe ni mzuri bila kujibleach, and again huhitaji watu wakuone au wakuambie mzuri, you should know that toka moyoni mwako.
 
Last edited by a moderator:
Mungu huwa anatupa wa kufanana nao. Dr. Slaa naye kapewa wa kufanana naye.

Hapana Mungu huwa anatupa strength za kutujazilizia pale tulipo na mapungufu. The thing is yule mama seems much know na mkuu yupo busy kujaza mashimo yanayowekwa na jeikei
 
Josephine please stop that. Ina maana uafrika unauchukia that much? Please please acha bwana. Wewe ni mzuri bila kujibleach, and again huhitaji watu wakuone au wakuambie mzuri, you should know that toka moyoni mwako.

yaani huu ni utumwa sasa!!
 
Last edited by a moderator:
angekua amefanya Salma na JK kungekua kejeli zote
aione
@Yericko nyerere
 
Last edited by a moderator:
Kuna mipicha mingine siyo ya ku upload kwenye social media. Yikes!
 
HApana, huyu dada hajitambui na mkuu kashikwa pabaya.

Hapana Mungu huwa anatupa strength za kutujazilizia pale tulipo na mapungufu. The thing is yule mama seems much know na mkuu yupo busy kujaza mashimo yanayowekwa na jeikei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…