ndo nini?
hii itakuwa ni cocktailzinakaa kama shots.........
Apex!maeneo ya kijenge
Chai au uji?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
nilihisi.....zamani paliitwa Lux (Mawingu enzi hizo)....hii ni counter ya pale wanapoimbia karaoke.....si ndio....?
Kitu cha kwa obama...guiness
nimekuvulia kofia!kumbe kipindi kile ulikuwepo?!hivi martin yuko wapi siku hizi?nina hamu na karaoke ile mbaya!
aahh sijabahatika kutembelea hapo safarii hii sista nikija naomba unitembeze baadhi sehemu adimu
inaonekana ni guiness na kama amegonga vyote hivyo lazima kesho yake atakuwa ametoa lami.....
ha ha.....siku hizi sina mabawa tena.......yeshavunjwa.......