Mambo ya sarakasi na msuli ukweni

Mambo ya sarakasi na msuli ukweni

WAZIWAZI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
1,815
Reaction score
1,576
UKAWA ni muunganiko wa vyama pinzani usiotambulika kisheria, navyoelewa mjinga ukimuelewesha tu basi inatosha, upumbavu ni kipaji kama ufupi na urefu hakuna namna ya kumsaidia mtu wa design hii.

Haka kamchezo kanakoendelea hapa, mimi nasema hizi ni sarakasi na msuli ukweni.

kama ni miongoni mwa wapiga sarakasi huku wamevaa-msuli ukweni huwezi kuelewa bora upite na uende zako.
 
kimyaaaaa......
 
Tunaruka sarakasi tukiwa tumevaa msuli ila ndani tumevaa boxer
 
akina sitta nape pinda zitto lusinde chenge wasio jua walifanyalo wapinga mapinduzi yetu kumbe wapo wengi
 
Mleta mada ameshadungwa tayari, ahesabiwe tu!!!! Hahahahahahahhah!!!
 
Back
Top Bottom