1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,274 Reaction score 13,784 Jul 6, 2016 #21 dexterous said: Tgo wanajua kutngaza biashara kwel Click to expand... Huu ni ukiukaji wa Haki za Binadamu kuwatumia mabinti hawa kujinufaisha kibiashara
dexterous said: Tgo wanajua kutngaza biashara kwel Click to expand... Huu ni ukiukaji wa Haki za Binadamu kuwatumia mabinti hawa kujinufaisha kibiashara
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,458 Reaction score 3,586 Jul 6, 2016 #22 Huyo wa kwanza angekaa mwisho huko...kakomaa kama muwa,angalau huyo wa pili ndo angesogea mwanzo
mwanamalundi90 Senior Member Joined Jun 12, 2016 Posts 177 Reaction score 137 Jul 6, 2016 #23 Mmmmh... kwel hakuna siri. Hii picha nimepiga mm na simu yangu juzi siku ya tarehe 4. Nikaipost kwenye magroup ya kazin. But now naikuta huku
Mmmmh... kwel hakuna siri. Hii picha nimepiga mm na simu yangu juzi siku ya tarehe 4. Nikaipost kwenye magroup ya kazin. But now naikuta huku
kajembejr JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,321 Jul 6, 2016 #24 Mmmm mbona wamekomaa hivyo?walau huyo wa 2 ananyamanyama anafaa kwa matangazo ya tigo
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Jul 6, 2016 #25 Nawaona kama baadhi yao vile wanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu (TIA).
Kete Ngumu JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 6,661 Reaction score 6,909 Jul 6, 2016 #26 Hawa wote wanatoa huduma za tigo?
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,512 Jul 6, 2016 #27 Kete Ngumu said: Hawa wote wanatoa huduma za tigo? Click to expand... Mkuu na wewe unataka kuomba kazi ya kutoa huduma za tigo?
Kete Ngumu said: Hawa wote wanatoa huduma za tigo? Click to expand... Mkuu na wewe unataka kuomba kazi ya kutoa huduma za tigo?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,695 Reaction score 185,182 Jul 6, 2016 #28 Wanauza nini..
Fredinho JF-Expert Member Joined May 18, 2016 Posts 971 Reaction score 1,161 Jul 7, 2016 #29 Dah hawa wadada wote wamenikodolea macho mpaka nimeshikwa na aibu!
JMF JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 1,782 Reaction score 2,836 Jul 7, 2016 #30 niachiemimi said: nimevuta picha wako ushi Click to expand... Ebu tuoneshe hiyo picha uliyovuta wakiwa uchi ili tuamini
niachiemimi said: nimevuta picha wako ushi Click to expand... Ebu tuoneshe hiyo picha uliyovuta wakiwa uchi ili tuamini
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jul 7, 2016 #32 Wanne kutoka kulia
kanuga JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 743 Reaction score 1,309 Jul 7, 2016 #33 Angalizo .. huyo wa pili shemeji yenu, mtoto mkali toka huasibu, napiga vyumbu mwenyewe... ' hao wengine nawagawa bureee ukitaka namba zao ni pm
Angalizo .. huyo wa pili shemeji yenu, mtoto mkali toka huasibu, napiga vyumbu mwenyewe... ' hao wengine nawagawa bureee ukitaka namba zao ni pm
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,531 Reaction score 1,566 Jul 7, 2016 #34 Uyo wa kwanza kama kwetu pazuri vile!
kandere JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 313 Reaction score 213 Jul 7, 2016 #35 Hawa Tg wana uwezo wakuanzisha mashindano ya u-miss kabisa, hapo lazima walifanyiwa usaili
as1987 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 1,256 Reaction score 598 Jul 7, 2016 #36 weed said: Huyo wa kwanza angekaa mwisho huko...kakomaa kama muwa,angalau huyo wa pili ndo angesogea mwanzo Click to expand... wapenda supu mnajulikana...
weed said: Huyo wa kwanza angekaa mwisho huko...kakomaa kama muwa,angalau huyo wa pili ndo angesogea mwanzo Click to expand... wapenda supu mnajulikana...
as1987 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 1,256 Reaction score 598 Jul 7, 2016 #37 Th Name said: Wanne kutoka kulia Click to expand... kafanyaje mkuu???
as1987 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 1,256 Reaction score 598 Jul 7, 2016 #38 Smart911 said: Wanauza nini.. Click to expand... hawauzi wanatoa Huduma tigo
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jul 7, 2016 #39 as1987 said: kafanyaje mkuu??? Click to expand... Anavutia kwa kweli. Macho yake rangi yake
as1987 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 1,256 Reaction score 598 Jul 7, 2016 #40 mwanamalundi90 said: Mmmmh... kwel hakuna siri. Hii picha nimepiga mm na simu yangu juzi siku ya tarehe 4. Nikaipost kwenye magroup ya kazin. But now naikuta huku Click to expand... kwani vibaya???
mwanamalundi90 said: Mmmmh... kwel hakuna siri. Hii picha nimepiga mm na simu yangu juzi siku ya tarehe 4. Nikaipost kwenye magroup ya kazin. But now naikuta huku Click to expand... kwani vibaya???