Mambo ya Porini hayo ...weekend njema!

Hapo ujifanye umekosea njia alafu unakutana nao ha!ha! utaomba upae angani....!!!
 
SI Unit,
hajaanza mkuu bado anayatafutia soko!kwa sasa hayalipi kama yale mengine!
 
mara nyingi wakiwa katika hali hiyo hawali chochote zaidi ya kunywa maji,shughuli yenyewe hufanyika kati ya siku 5-7.
 
Wanaopiganaga na simba mpaka kumuua wanahitaji pongezi kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…