Bwisso
Member
- Jan 17, 2012
- 28
- 15
Jamani "NYUMA" raha ! asikwambie mtu. "NYUMA" rahaaa wacha nipasifie, nisipo pasifia atapasifia nani tena mwenye kuujua vizuri utamu wa "NYUMA" ?. Hebu fikiria Soda ilikuwa Tsh 250, Sukari robo Tsh 150, Mafuta ya kula robo Tsh 100, Mafuta ya taa LT Tsh 500, Sabuni ya kipande Tsh 30, Unga kilo Tsh 200. Dah ! Kweli Nyuma tulifaidi au we unaonajee ?