Hasa mchezee Chausiku, #mpalestina
Thot ur mind ipo kwa money tu...kumbe…^
I bet utamu kwako haupo kwenye hela.....tu..huh
May be umeacha ku ride....huh
Basi twende sawa,
Nilisema i bet utamu kwako sio pesa tu, nikimean kuna kitu kingine kwako ni kitamu kwako
sikisemi ila pesa kwanzaKila mwanamke ni wife material inategemea chaguo la mtu,....
najiamini sana mkuuu napenda pesaMwanamke jiamin,,,
Sema hicho kingine, unachokificha