Mambo ya Msingi Sana katika maisha

ANOTHER ONE: Jitahidi sana usiwe na mwanamke wa ziada katika mtaa mmoja unapoishi na familia yako (mke na watoto). Kama utaamua kuwa na mwanamke wa ziada basi awe mbali na hapo mtaani kwako.

Respect your wife and children.
Huo bado ni uzinzi,achana kabisa na uzinzi,kumbuka gonjwa la zinaa likiibuka alitajali mchepuko yuko umbali gani,litamvaa pia mkeo au mmeo.
 
Genius🫡🫡🫡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…