Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Ntaendelea kuisoma kwa kurudia rudia, usiwe na namba ya mke wa mshikaji wako au rafiki yako, kwa namna yoyote kumkanya sitaweza maana hawachelewi kupindua meza kusema best yako ananitaka, kuwekwa ndani ya chupa nadhani mnajua mbilimbi zake
 
ANOTHER ONE: Jitahidi sana usiwe na mwanamke wa ziada katika mtaa mmoja unapoishi na familia yako (mke na watoto). Kama utaamua kuwa na mwanamke wa ziada basi awe mbali na hapo mtaani kwako.

Respect your wife and children.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimeipenda lugha uliyotumia. Muungwana sana wewe. Lazima utakuwa polygamist πŸ˜…πŸ˜…
 
Ntaendelea kuisoma kwa kurudia rudia, usiwe na namba ya mke wa mshikaji wako au rafiki yako, kwa namna yoyote kumkanya sitaweza maana hawachelewi kupindua meza kusema best yako ananitaka, kuwekwa ndani ya chupa nadhani mnajua mbilimbi zake
She might end up flipping the table na kukugeuzia kibao?? Au sio mkuu??
 
Usimpe nafasi ya ghetto kumpa copy ya Ufunguo demu ambae hujamjua vizuri, au humpendi au huna malengo nae

Epuka majungu never judge people whom you don't know, apply natural justice always.

Never judge people with their situations in the future by benchmarking them with their past, life is always dynamic so as people are similarly dynamic. Find out their transformations.

Maisha ni watu salimia watu I doesn't cost anything

Note: Mwanamke sio kiumbe wa kugombaniwa na kamwe usigombane na mwanaume awaye yeyote kwa sababu ya Mwanamke.

Samehe ugomvi wowote uluosababishwa na mwanamke.

Usimpe nafasi yoyote mwadamu yeyote kumwambia ukweli wako wote, 30% ukweli 70 uongo hasa kuhusu maendeleo yako ya kimaisha.

Epuka sifa kuhusu pesa na ngono vinakawaida ya kurudi reverse inayoumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…