sasa mambo kama haya si shurti uwe ushakula gomba au?
laa salalaaa
nishajua kwa nini jamaa ndugu zake wamlalamikia hajapeleka pesa home..kila kukicha aniambia ohh unajua zile chata plane kwenda Mombasa ni paundi 150 tuu kumbe pesa zote zajenga nyumba kule kwa shemeji zake
Acheni masihara, watoto wa Mombasa wamefundwa, kwa watu kukimbilia huko wala hakushangazi, maana unapata mtoto ananyenyekea mume kama mfalme wake! Si kuoa mnyakyusa au msukuma ambae mapenzi kwao ni kitendawili!